Jumanne, 16 Februari 2016
14:34
YES STUDIO
No comments
Ukiacha
mashamba, nyumba, magari, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji
amezindua Mgahawa wake wa Kisasa unaoitwa "Masanja Wali Nyama" Maeneo Ya
Tabata Magengeni Karibu na CRDB BANK.
Shughuli hiyo iliyo anza saa mbili usiku na kumalizika saa tano usiku, ilipambwa na waimbaji mbalimbali wa muziki wa Gospel akiwemo Miriam Jackson, Emmanuel Mbasha, Faraja Ntaboba, Mc Makondeko, Stella Joel pamoja na Wachungaji, Mitume na Manabii.
Twende sawa na matukio ya Picha hapa chini.

Jumatatu, 15 Februari 2016
Jumapili, 14 Februari 2016
17:54
YES STUDIO
No comments
Verse Of The Day
1st John 4:18-19
"There is no fear in love. But perfect love drives out fear, because fear has to do with punishment. The one who fears is not made perfect in love. We love because loved us first." #YESTV(WIMBILAFURAHA)

Ijumaa, 12 Februari 2016
19:50
YES STUDIO
No comments
HAYAWI hayawi , hatimaye yametimia , YES TV On Air Now Na Mtangazaji wako Hezron Mwanafunzi Wa Yesu
tukutane kesho Live kuanzia saa 4:00, lakini bilakusahau jumapili
usikose kutazama CHOMOZA YA CLOUDS TV tumewaandalia bonge la zawadi
usikose, kutazama TV yako kuanzia saa 1 hadi Saa 4 Asubuhi.
18:48
YES STUDIO
No comments
Mkali wa muziki wa injili hapa Tanzania, mwanadada Christina Shusho amekuletea video Mpya inaitwa "MAVUNO". akishirikiana na Mireille Basirwa, imeandaliwa Director Tiger kutoka +254
Enjoy!
Enjoy!
Alhamisi, 11 Februari 2016
17:34
YES STUDIO
No comments
Boni Mwaitege is a dedicated praise and worship servant of God who is
using songs to spread the Gospel across the world. His songs has
impacted many not only in East Africa but also across Africa and World
at Large. Let's pray for this humble servant of God to continue with the
mission of service until Jesus returns. When God lifts you up don't
despise those who are still down /abusing the favor .The journey is
17:10
YES STUDIO
No comments
Breath
of God we need a touch from You, Shine down on us with the light of
truth, Stir our hearts and set our spirit free... Holy Spirit, come fill
this place.
Jumatano, 10 Februari 2016
11:28
YES STUDIO
No comments
Wakali wa muziki wa injili, Bi. Christina Shusho na Mireille Basirwa wa (Belgium) wamekutana kenya kwa ajili ya kutengeneza wimbo mpya kwenye studio za Produce Timothy Boikwa. Kwa sasa wako Location wakifanya Video ya Kolabo hiyo na Director Tiger.
Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo hapo chini.
11:24
YES STUDIO
No comments
Machalii
wa Yesu kutokea Arusha wamejipanga kuachia wimbo wao mpya unaokwenda
kwa jina la Yesu anakupenda ambao uko kwenye mahadhi ya HipHop na
umefanywa na vichwa takribani nane vya muziki huo.
Wimbo huo ambao umefanyika chini ya producer Sam Timber kutoka Fnouk studios unatarajiwa kuachiwa siku ya Valentine,tarehe 14/02/2016.
Katika kuelekea kwenye siku ya kuachiliwa kwa wimbo huo, Machalii wa Yesu wanakuletea Yesu anakupenda Challenge ambapo mashabiki na wadau watapewa nafasi ya kuotea hao watu wanane walioshiriki kwenye wimbo huo kwa kuwatambua kutokana na wasifu wa kila mmoja utakaokuwa ukitolewa kwenye ukurasa wa facebook wa Machalii wa Yesu.
Machalii wamejipanga kuwapongeza watu wa kwanza kuweza kuotea watu hao.
Ungependa kushiriki?Tembelea ukarasa wao wa facebook ambao ni Machalii wa Yesu kisha fuata maelekezo

11:18
YES STUDIO
No comments
09:25
YES STUDIO
No comments
Tazama video 'Mwema' by Mercy Masika toka Nairobi Kenya. Wimbo umeandikwa (tungwa) na Mr.Vee. Enjoy!
01:00
YES STUDIO
No comments
This is a VIDEO of MARTHA MWAIPAJA AND HER YOUNG SISTER BEATRICE
MWAIPAJA which is called "HIVI NILIVYO" . This Video was Directed by
"Jackson Joachim" From IVES ENTERTAINMENT. If you want to do your
videos withYES STUDIO contact us 0765177715 or you can email us
at yestz.org@gmail.com
00:33
YES STUDIO
No comments
Video Mpya Kabisa "Have Your Way" toka kwa mwanadada Angel Benard. Unaweza kudownload wimbo huo kupitia link hii https://mkito.com/song/have-your-way.
00:28
YES STUDIO
No comments
Nimekusogezea
video hii toka +254 (Kenya). Willy Paul akiwa na Size 8, Kambua na
Gloria Muliro inaitwa "Sijafika" Bado namtafuta Yesu. Enjoy!
00:24
YES STUDIO
No comments
Video mpya kabisa All the way from 254 inaitwa "Nifunze" toka kwa mwanadada Janet Otieno. "Teach
me, Lord, the way of your decrees, that I may follow it to the end.
Give me understanding, so that I may keep your law and obey it with all
my heart."
00:00
YES STUDIO
No comments
Download wimbo toka kwa janet otieno na christina shusho "Napokea Kwako"
Lyrics
Maisha magumu sana nimepitia
Nikajaribu kutafuta msaada sikupata
Nikaendea wanadamu mwisho wakanidharaume)
Kumbe msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu
Nilijua ya kuwa wenye haki ya kubarikiwa\
Kumbe baraka ni haki ya kila mmoja
Nibebadili wazo langu namwelekea Mungu
Kwake msaada wangu unapatikana
Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi
Nami zamu yangu wa kubarikiwa ee

Chorus:
Wakati huu wa kubarikiwa
Zamu ni yangu, sasa kupokea(\
Nimechoshwa, na shida za dunia
Napokea kwako, Ee Bwana kwako x2
Napokea kwako, Yesu napokea kwako
Napokea kwako, Baba napokea kwako
Nimeamua kwenda zaidi na zaidi
Nimejipanga hadi nione matunda yake
Yale Mungu amewekeza ndani yangu
Najua Mungu yuko kazini kunikamilisha
Akisema nimebarikiwa, nimebarikiwa tu
Hata ukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tu
Mlima gani kuu sana usioung’oa?
Jaribu gani gumu sana usiloliweza?
Chozi gani zito kwako usilolifuta?
Ombi gani kubwa sana usilolijibu?
(Chorus)

Jumanne, 9 Februari 2016
23:23
YES STUDIO
No comments
Ladies and gentlemen, Bahati wa kenya anakukaribisha uitazame video yake mpya inayokwenda kwa jina "Itakuwa Sawa". Enjoy!
Jumatatu, 8 Februari 2016
23:40
YES STUDIO
No comments
Video ya Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Miriam Jackson " NI BWANA"
inaendelea kufanya vizuri ndani ya Tanzania na East Africa kwa ujumla,
Video hiyo iliyotaarishwa na iliyochanganywa sanaa kiufundi zaidi na
mtaalishaji wa Gospel Music Video, Tiger from Kenya .Tiger amewahi
kutengeneza video za Christiana Shusho , kama "Umenifanya ni Ningare" na
zinginezo nyingi tu, Miriam anatarajia pia kuachia wimbo mwingine ,
Audio na video, Video yake Miriam Jackson inatarajiwa kuwa kali zadi
baada ya Director Tiger kufanya kweli kwenye video hiyo, cha kufanya
wewe mdau wa Miriam unaweza ukalike page ya facebook ya Miriam Jackson
Tz - Ni Bwana ili kupata New updates , na Mungu wa Mbinguni na
akuabriki sana. pia unaweza ukatazama video ya "NI BWANA" kupitia link
hiii
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)