Ukiacha
mashamba, nyumba, magari, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji
amezindua Mgahawa wake wa Kisasa unaoitwa "Masanja Wali Nyama" Maeneo Ya
Tabata Magengeni Karibu na CRDB BANK.
Shughuli
hiyo iliyo anza saa mbili usiku na kumalizika saa tano usiku, ilipambwa
na waimbaji mbalimbali wa muziki wa Gospel akiwemo Miriam Jackson,
Emmanuel Mbasha, Faraja Ntaboba, Mc Makondeko, Stella Joel pamoja na
Wachungaji, Mitume na Manabii.
Twende sawa na matukio ya Picha hapa chini.
Jumanne, 16 Februari 2016
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni