Jumatatu, 8 Februari 2016
23:40
YES STUDIO
No comments
Video ya Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Miriam Jackson " NI BWANA"
inaendelea kufanya vizuri ndani ya Tanzania na East Africa kwa ujumla,
Video hiyo iliyotaarishwa na iliyochanganywa sanaa kiufundi zaidi na
mtaalishaji wa Gospel Music Video, Tiger from Kenya .Tiger amewahi
kutengeneza video za Christiana Shusho , kama "Umenifanya ni Ningare" na
zinginezo nyingi tu, Miriam anatarajia pia kuachia wimbo mwingine ,
Audio na video, Video yake Miriam Jackson inatarajiwa kuwa kali zadi
baada ya Director Tiger kufanya kweli kwenye video hiyo, cha kufanya
wewe mdau wa Miriam unaweza ukalike page ya facebook ya Miriam Jackson
Tz - Ni Bwana ili kupata New updates , na Mungu wa Mbinguni na
akuabriki sana. pia unaweza ukatazama video ya "NI BWANA" kupitia link
hiii
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni